KWA HISANI YA COMPUTERCONSULT LTD YA DAR NATANGAZA ZAWADI YA DOLA 500 KWA MDAU YEYOTE POOTE ALIPO DUNIANI KWAMBA ATAKAYEBAHATIKA KUWA MGENI WA MILIONI 2 KWENYE GLOBU YETU HII. ENDAPO UTABAHATIKA NITAKUARIFU KWA ANUANI YA BARUA PEPE UTAYONIPA NA KUNIAMBIA TUKUTUMIEJE HIYO ZAWADI

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. utajuaje email ya mshindi wa milioni mbili
    Mdau

    ReplyDelete
  2. Whoa that's a lot of Green,I hope I win this!

    ReplyDelete
  3. Yes Michuzi, hebu tuambie utajuaje mshindi ni nani? Manaake ukitangaza kuwa kwa mfano "Mtu wa 2,000,000 ni Anon wa siku fulani na saa fulani" kama tunavyoitana humu ndani basi kila mtu atadai yeye ndio huyo Anon

    ReplyDelete
  4. Michuzi huna knowlege ya marketing.we ni wa kufotoa tu,sasa kwasisi watu wa marketing perception "hiyo ni kampuni isiojiamini na hakuna quality wala excelent services.iweje wakutume udanganye watu ili wa visit hiyo site yao.hilo nishindano lisilokuwa na mshindi.

    ReplyDelete
  5. na kushinda shindano hili ni lazima u post comment? au ukiingia tu ukaangalia habari basi unaweza ukawa mshindi? please naomba utujulishe... anko michuzi!

    ReplyDelete
  6. Nashauri uchukue screenshot ya IP address ya mtu wa 2,000,000. Halafu ufanye uhakiki wa location ya hiyo IP address. Pia tuwekee hiyo screen shot hapa wadau tuihakiki pia. Unaweza kuchagua wadau watatu wapokee pia e-mail toka kwa mshindi kama ushahidi kuwa IP address ni ya kwake. Hao wadau watatu wa kuhibitisha wajitokeze kwa kuandika e-mail zao katika comments za blog.

    ReplyDelete
  7. Hivi anoy hapo juu unajua maana ya IP address. Screen shot ya IP address?????

    Yes sio laima uweke comment humu...just angalia hiyo number ya chini kama wew ndio 2 million but you have to take a money shoot picture au jinsi yeyete kumake sure michuzi amejua nini wewe kweli.

    Lakini ukiacha commnts sio vibaya pia..wengine humu tunaengeza number za Micuzi kwa comments za watu. I love to read those comments.....

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...