aboubakar liongo (pili shoto) akiagwa na wadau juzi kabla ya kupaa kurudi ujeremani

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. why dramatize it?!

    ReplyDelete
  2. why dramatize it?!

    ReplyDelete
  3. Michuzi najua huyu ABUU ni mshikaji wako,ukiamua kubana hii comment bana.
    we abuu we ndio wa kwanza nini kuchomoka kwenye familia yenu?

    ReplyDelete
  4. hao masela wanaoneka kama ni watu wa mision town!

    ReplyDelete
  5. Dah!! Namuona Kaka Paul James (PJ) ambaye walikuwa "wakikamua vibaya mbaya" ndani ya Radio Uhuru. Nimem-miss sana mtaalamu wangu huyo. Kila la kheri Liongo.

    ReplyDelete
  6. Tunashukuru tumekulea vizuri na unaondika na afya nzuri.....haya kwaheri na ukaendeleze libeneke la kula burgers..(nasikia kama kutapika vile)

    ReplyDelete
  7. Huyu Benie Sigel katokea wapi tena? Na huyo mshikaji mwenye mfuko wa kaki naona yuko mbio kutafuta visa.
    DallasFinesty

    ReplyDelete
  8. Kwani mkiondoka kwenda Ulaya hamuwezi kuondoka kimya kimya ndo mpaka mtukoge humu kwenye bulogi?
    Washamba nyinyi nini?
    Mmeanza UBISHOO kama ule wa LINDA sio?
    Kudadadek!

    ReplyDelete
  9. huyo mshikaji mwenye tai yuko kama mhasibu vile halafu anakula sana sigara na pombe

    ReplyDelete
  10. Hivi huyo si ni Kim Matinyi au nimekosea? Yuko bongo? Maana namtafuta sana. Naomba mnijulishe tafadhali. Asanteni

    ReplyDelete
  11. Kumbe watu kila siku sababu ni sizitaki mbichi hizi...hivi watu wakienda A-town, zanzinar, dododma wanawekwa kwenye blog??? Mbona huyu aagwe hivyo na picha kwenye blog? kumbe majuu kutamu teh teh teh

    ReplyDelete
  12. oyaa Dallasfinesty umeniacha hoi kaka/dada.Jamaa karibia afanane kama bennie sigel.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...