hapa ndipo lango la jiji migomigo, ukumbi pekee nchini unaokuwa na shoo jumatatu na kujaza mpaka inabidi wadau wengine wanyimwe kuingia kwa ukosefu wa nafasi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Yaani nimecheka sana! Tanzania nchi yetu bwana, hata ungekaa uropa mpaka lini, home ni home tuu! Labda niulize nani mmilikiwa huo ukumbi?

    ReplyDelete
  2. Michuzi hapa ulitoka kwa Bitebo tuu kuliwa kichwa!!! Lol

    ReplyDelete
  3. ambao hajui lango la jiji walidhania ni bonge la ukumbi, kiujumla ni pabaya sana tena sana ila hiyo taarab ya east african melody ndio balaa lazima utaenda tuuu pale kama unapenda taarab

    ReplyDelete
  4. huo ukumbi una mandhari mbovu kishenzi yaani umechoka sana kweli ughaibuni kumetuharibu,yaani kuona picha nikasikia kichefuchefu.

    ReplyDelete
  5. mimi humu siingii hata kwa risasi maana nikiumia insurance yangu wata-classify hiyo ajali kama ATTEMPTED SUICIDE

    ReplyDelete
  6. kuchafu ile mbaya,hivi hiyo hewa ya ndani ukiingia humo ukavuta si unaweza kupata magonjwa ambayo ni ya hatari sana,humo hata kwa dawa siingii unaweza kufa tuu kwa hewa ya humo ndani

    ReplyDelete
  7. Ama kweli Bongo New York!!!!!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...