ambwene yesaya a.k.a ay akizindua mavazi, albamu mpya pamoja na tovuti yake klabu ya maisha iliyopo ostabei usiku wa kuamkia leo. jinsi wadau walivyofurika kumeonesha ni jinsi gani ay anavyokubalika

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. hana lolote zaidi ya kuwa unampigia debe sana.

    ReplyDelete
  2. AY HONGERA SANA KIJANA UNAJITIHADA SAFI SANA NA INAELEKEA MENEJA WAKO ANAMIPANGO MIZURI..KITU KIMOJA KUMBUKA KWAMBA HUNA TALENT YA KUIMBA ILA UNAPENDA KUIMBA NA NYIMBO ZAKO ZINA MANENO MAZURI..TAFUTA PRODUZA MZURI WA NYIMBO/ALBUM ZAKO. SIPENDI KUKULINGANISHA NA WAIMBAJI WA BONGO FLAVA WAKALI KAMA(SUGU, MH TEMBA N.K)KWASABABU WEWE NI AY...HALAFU KUNA YANKI MWINGINE ANAITWA " NGWEA" HUYU JAMAA ANATALENTI KUPITA MWIMBAJI YEYOTE WA BONGO FLEVA ILA BADO HAJAPATA MWELEKEO MZURI WA KIFEDHA NA MENEJA.

    ReplyDelete
  3. Big up kijana make ur dreams come true maana tunakukubali kaka.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...