Home
Unlabelled
baba
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hahahaha hakuna Baba wa taifa hapo...
ReplyDeleteHuyo ni Kaka wa taifa
jamani huyi sio kabila jr?
ReplyDeleteYaani wewe uliyechora hiyo picha unaona huyo amefanana na baba wa taifa wa Tanzania au wa kwako mwenyewe
ReplyDeleteembu acha kutukejeli hapa
huna mpango !!!!
MBONA MNA KEJELI. HUYO JAMAA KAWA BABA WA TAIFA KIVIPI.
ReplyDeleteHuyo ni MDINGI wako sio baba wa Taifa.
ReplyDeleteHivi Michuzi si nilidhani huwa unapitia vitu kabla havijawekwa kwenye blog. Vipi mambo mengine hayana maana yanawekwa tu kwenye blog. Haya bwana..
ReplyDeletewashamba hao wasioelimika..mlizania kiswahili chenu tu...huyo baba wa taifa wa congo basi... sio mkalie kutukana watu wakati mnakimbia umande kila siku...nendeni shule
ReplyDeleteBABA WA TAIFA HAINA HATI/HAKI MILIKI, DUNIANI KUNA MATAIFA MENGI SANA NAYO YANA HAKI KAMA ILIVYO TANZANIA, HIVYO BASI TUMUULIZE MCHORAJI ATUELEZE NI TAIFA LIPI INAWEZEKANA KABISA MCHORAJI SI MTANZANIA NA HUYO NI BABA WA TAIFA LAKE HILI SI KOSA WALA SI KIROJA,
ReplyDeletenimefurahi kumwona dogo Mwasi!
ReplyDeleteBaba wa Taifa wa Congo atakuwa Patrick Lumumba.
ReplyDelete