Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. Hahahaha hakuna Baba wa taifa hapo...
    Huyo ni Kaka wa taifa

    ReplyDelete
  2. jamani huyi sio kabila jr?

    ReplyDelete
  3. Yaani wewe uliyechora hiyo picha unaona huyo amefanana na baba wa taifa wa Tanzania au wa kwako mwenyewe
    embu acha kutukejeli hapa
    huna mpango !!!!

    ReplyDelete
  4. MBONA MNA KEJELI. HUYO JAMAA KAWA BABA WA TAIFA KIVIPI.

    ReplyDelete
  5. Huyo ni MDINGI wako sio baba wa Taifa.

    ReplyDelete
  6. Hivi Michuzi si nilidhani huwa unapitia vitu kabla havijawekwa kwenye blog. Vipi mambo mengine hayana maana yanawekwa tu kwenye blog. Haya bwana..

    ReplyDelete
  7. washamba hao wasioelimika..mlizania kiswahili chenu tu...huyo baba wa taifa wa congo basi... sio mkalie kutukana watu wakati mnakimbia umande kila siku...nendeni shule

    ReplyDelete
  8. BABA WA TAIFA HAINA HATI/HAKI MILIKI, DUNIANI KUNA MATAIFA MENGI SANA NAYO YANA HAKI KAMA ILIVYO TANZANIA, HIVYO BASI TUMUULIZE MCHORAJI ATUELEZE NI TAIFA LIPI INAWEZEKANA KABISA MCHORAJI SI MTANZANIA NA HUYO NI BABA WA TAIFA LAKE HILI SI KOSA WALA SI KIROJA,

    ReplyDelete
  9. nimefurahi kumwona dogo Mwasi!

    ReplyDelete
  10. Baba wa Taifa wa Congo atakuwa Patrick Lumumba.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...