mh. getrude mongella mara baada ya kukabidhiwa mikoba ya kuongoza mkutano wa kinamama wa beijing na katibu mkuu wa umoja wa matafa wakati huo, Boutros Boutros Ghali.

*Nawataka radhi kwa makosa yaliyofanyika mwanzo ambapo badala ya Boutros Ghali iliandikwa Kurt Waldeiham*

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Kaka Issa huyo ni Butrous Ghali wa Egypt! UN SG from 1991 to 1996! Huyo mzee hatakaa amsamehe Madeleine Albright! Dunia hii nyi acheni tuu, kama mkubwa hakutaki basi tuu!

    ReplyDelete
  2. Thank you for the correction. Yuko wapi huu mama? Hana PR Machine mbona kimiya kimiya tu.

    ReplyDelete
  3. Michuzi, mbona umebania mtundiko wangu uliouliza kwa nini huyo mama yetu kaachishwa uongozi wa hilo kundi la wakina mama (UN Women Decade Conference) mara baada ya Mkutano wa Akina Mama wa beijing kumalizika, na nafasi yake ikachukuliwa na mama wa Jamaika?

    Kwa kawaida alikuwa aendelee hadi hapo mkutano mwingine baada ya mika kumi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...