Michuzi,
Owner: S heik Mohammad Bin Rashid Al Maktoum - UAE.
This car is worth 5 billion pounds WOW!! Bugatti Veyron in dubai… This is an awesome machine… V16 engine… 1000bhp… with 9 radiators… Top speed 405km/hr… No one can beat this car in a drag race… Probably…. the most expensive car with the most expensive number plate in the UAE!
Mdau, Dubai
psssst! kiinglishi mie iz noti richabo ila nadhani mdau aliyeleta hii amepitia kwenye link hii http://most-expensive.net/car-in-world pia. kama bado naomba aende kwa habari zaidi juu ya bugatti. ila kama bei hiyo ni kweli huenda imetokana na vikolombwezo vya mmiliki wake

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 16 mpaka sasa

  1. sawa kabisa mzee michuzi kama ulivyosema gharama za gari,zinakuwa kubwa especial unapotoa special order ukitaka addon kama unataka,itengenezwe na carbofibre, windsreen,door handle,engine iwe embossed jila lako,kama unataka goldplated wheelcap or alloywheel,unataka diamond decorated gear leaver,bei itakuwa kubwa tu,halafu kitu kingine jamaa kasema tu 5billion pound ,je pound za wapi kuna nchi nyingine zinatumia pound pia,halafu naona mdau amechukua hii info hapa http://www.nidokidos.org/bugatti-no-1-dream-car-t11175.html na navyoona hizo comment ni mdau wa ile website tu kasema sio reliable sana,labda kama ingekuwa ni website yenyewe au bugatti ingekuwa more reliable zaidi .nashukuru mdau kwa kutupa news pia

    ReplyDelete
  2. A Saudi Prince has become the first private individual to place an order for his own personal A380 Super Jumbo in a deal which could cost him more than half a billion US dollars.
    He is Prince ALWALEED BIN TALAL BIN ABDULAZIZ ALSAUD. The son of founding King of Saudi Arabia.
    He is already the only private owner of a Boeing 747-400

    ReplyDelete
  3. huo babake ni uongo mkubwa!!!!
    unajua pound billioni kumi zikoje??
    sio shilingi ndg yangu...
    hio ni kama 10% ya tajiri wetu wa dunia...

    ReplyDelete
  4. Baada ya kuchoka kubeba box naona niungane na wadau wengine kuweka hisia zanagu.Kwa kweli tuacheni tabia za kukuza mambo,ni kweli Gari iliyoonyeshwa ni ya kifahari na mwenye nayo ni kati ya matajiri wakubwa na pengine aliyewahi kutoa msaada mkubwa kwa Middle duniani east.Lakini Thamani ya gari imekuzwa maradufu na kuwa kubwa kuliko hata baadhi ya Ndege kubwa.5Billion British Poun is not a joke.Guys lets stay away of Exacerbating informations in this world of tramendously information,it is indesputable that the pace of accessing data has grown,therefore cheatin can be easily treasable.Kwa mujibu wa taarifa za kutoka nchi hiyo gari hii ni 18,500,000 Utd. Arab Emir. Dirham which is equivalent to 2,455,715 British Pound under the prevailing exchange rate.

    My Doubt,mimi nikichoka kupiga box hupenda kutembelea mtanda huu na kupata nyeti nyingi,lakini historia inanionyesha kwamba Baadhi ya Watu hupenda kuongea na kufanya watu wengine hawajui ukweli,ama wanakurupuka ama wanakua wachochezi wa mada ili wengine wazijibu hoja zao.

    Kwa leo sina Mengi ni mimi mtaalamu wa Box hapa kwa Gordon Brown na anapaswa atuheshimu kwani Mkewe alikulia Dodoma! huyu bwana.Jamani nilisaha Leo Hapa ni baridi kiama ukichanganya na Box ha ha ha ha Nyumbani nitarejea tu.

    ReplyDelete
  5. £5000,000,000.???!!!! Unacheza wewe hata hiyo Airbus A380 haiuzwi bei hiyo. £5bn sio mchezo kaka kwa gari gani basi !!!

    ReplyDelete
  6. Mh I doubt...5 billion pound!!!!! ya dubai au...kama USA yanaunzwa 2 millions saa huko kama ni sterling 5 billion pound....mhhhhh

    ReplyDelete
  7. Mjomba uwe unafikiri kabla ya kuandika! Duniani hakuna na wala hakutakuwa na gari yenye bei ya Pound bilioni tano!

    ReplyDelete
  8. INAUZWA £800,000 STERLING. COST YA KUTENGENEZA NI £5 MILLION STERLING. TUMIENI GOOGLE WADAU.

    ReplyDelete
  9. Mmeshaanza tena porojo za kwenye vijiwe vya kahawa.

    ReplyDelete
  10. Hi anony wa 11:36 PM, you have a very wrong choice of words, jaribu kuelewa maana kwa unda kabla ya kujirusha kuandika au kuongea. Hii ni kwa wema tu usinitukane tafadhali maana hamkawii.

    ReplyDelete
  11. Duh, wallahi kweli wabongo tup mbali manake jamaa wameweka gari na kuelezea kidogo bei watu oooh unajua ni bei mbaya nk.... sasa wakubwa hiyo gari inaitwa Bugatti Royale, mwaka 1987 iliuzwa kwa mnada na ikanunuliwa na highest bidder at Sterling Pounds 5.5Milion....Tarehe ya mnada ilikuwa 19 November 1987... Sasa wabishi mkasome na kama mnataka data zaidi nitaweka.... Michuzi, wawekee wadau hiyo hapo waone na waache kubisha na kuweka mawazo yao (mengi finyu) hadharani....
    Mungu Ibariki Tanzania na Watu wake...

    ReplyDelete
  12. MIMI BABA YANGU ALITAKA KUORDER GARI FULANI WABONGO WAKAANZA OHH MUHUJUMU UCHUMI TABU TUPU UMASIKINI WA WATANZANIA WAKIKUPA UONGOZI WANAKUNYANYASA NA KUKUANDAMA SERIKALI HII SHIDA SANA

    ReplyDelete
  13. wewe 12:49 unajifanya unajua kumbe wewe ndio mshamba...hiyo yako ni moja ya collectable kama umeiona mahali lakini zingine hazifiki hiyo billion 5 na wewe fanya utafiti kabla hujasema...Ipo moja NY City kwenye show room ina price tag ya million 7 just for your information

    ReplyDelete
  14. Jamani hivi watu huwa wanakurupuka na kuandika tu. Au mnafikiri hizi nienzi za mwaka 1985 mzalendo na uhuru yakiandika kitu huna pa kupata tena. Haahah.
    Gharama za utengenezaji wa hiyo gari ni 5 million sasa ndio liuzwe 5 Billion ha ha ha. Hivi wakati unaandika hiyohela ulifikiria kwanza ama?

    Nahuyo anayesema imetengenezwa ijui iliuzwa mwaka 1987 mwee acha kudanganya watu hizo habari zako umezitoa wapi mbona huweki source hapa tunaelimisha so toa source watu wasome wajua wasio juoa au ndio habari za kijiweni.
    Ok hembu pateni ukweli hapo mwazo mpaka mwisho
    http://en.wikipedia.org/wiki/Bugatti_Veyron_16.4

    DX

    ReplyDelete
  15. Wewe muongo mkubwa..unafikiria pounds ni hela za madafu? Hiyo gari inauzwa dola million kama moja point mbili hivi...ni expensive lakini si kama mlivyoweka hapo. For more information
    Development of this vehicle began with the 1999 EB 18.4 "Veyron" concept car. Introduced at the Tokyo Motor Show, it was similar in design and appearance to the final Veyron production car. One major difference was the EB 18.4's use of a W18 engine with three banks of six cylinders. The Veyron's head designer was Hartmut Warkuss with exterior designed by Jozef Kabaň of Volkswagen rather than Giorgetto Giugiaro of ItalDesign who had handled the three prior Bugatti concepts too.
    Volkswagen chairman Ferdinand Piëch announced the production Veyron at the 2000 Geneva Motor Show. It was promised to be the fastest, most powerful, and most expensive car in history. Instead of the W18, the production model would use a VR6/WR8-style W16 engine. First seen in the 1999 Bentley Hunaudieres concept car, the W16 would get four turbochargers, producing a quoted 1001 horsepower (see engine section for details on the power output). Top speed was promised at 407 km/h (253 mph), and pricing was announced at €1 million (US$1.3 million at the time).
    Development continued throughout 2001 and the EB 16/4 Veyron was promoted to "advanced concept" status. In late 2001, Bugatti announced that the car, officially called the Bugatti Veyron 16.4, would go into production in 2003. The car, however, experienced significant problems during development. Achieving the required high-speed stability was difficult - one prototype was destroyed in a crash and another spun out during a public demonstration at the Monterey Historics event in Mazda Raceway at Laguna Seca. Production of the Veyron was delayed pending resolution of these and other issues.

    ReplyDelete
  16. Msameheni mkurupukaji huyo....



    SteveD.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...