Home
Unlabelled
chai maharage
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
jamani sasa huyo kaka akianguka huko juu inakuwaje?, watu wanachezea maisha ee, hya naona naona gari iko full lumbesa...
ReplyDeleteDuuh!jamani haya mambo bado yapo? Siamini!!
ReplyDeletemtumeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!! mungu atusaidie
ReplyDeleteNshawahi patwa na mfadhaiko, zile chai-maharage DCM za dar enzi hizo
ReplyDeleteWa bara wanaita chai maharage lakini wazanzibari wanaiita fahari ya mzanzibari, na hii itaendelea kudumishwa milele, kama london taxi
ReplyDeleteanon hapo juu umenikumbusha moja ya masaki-posta ilikuwa inaitwa KABIBII, kwa nyomi hiyo ilikuwa si mchezo.....
ReplyDeleteKIFO HICHO,WOTE MNAOSIFIA VICHWA VYENU VIMEJAA MATOPE.
ReplyDeleteKifo huyo utingo au gari yenyewe?
ReplyDelete