chai maharage ni kama kawa zenji

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. jamani sasa huyo kaka akianguka huko juu inakuwaje?, watu wanachezea maisha ee, hya naona naona gari iko full lumbesa...

    ReplyDelete
  2. Duuh!jamani haya mambo bado yapo? Siamini!!

    ReplyDelete
  3. mtumeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!! mungu atusaidie

    ReplyDelete
  4. Nshawahi patwa na mfadhaiko, zile chai-maharage DCM za dar enzi hizo

    ReplyDelete
  5. Wa bara wanaita chai maharage lakini wazanzibari wanaiita fahari ya mzanzibari, na hii itaendelea kudumishwa milele, kama london taxi

    ReplyDelete
  6. anon hapo juu umenikumbusha moja ya masaki-posta ilikuwa inaitwa KABIBII, kwa nyomi hiyo ilikuwa si mchezo.....

    ReplyDelete
  7. KIFO HICHO,WOTE MNAOSIFIA VICHWA VYENU VIMEJAA MATOPE.

    ReplyDelete
  8. Kifo huyo utingo au gari yenyewe?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...