richard akipozi na wadau baada ya kipindi cha friday night live cha eatv usiku wa kuamkia leo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. Hivi michuzi unajijua kuwa na wewe ni staa wa Bongo? Kipaji chako cha picha kidumu, ulianza mbali nakumbuka enzi zileeee TSJ. Hongera sana.

    ReplyDelete
  2. Michuzi naona semina yako elekezi ya MIKONOOOZZZ imeeleweka hata Rich naona kafuata hahaha !.

    ReplyDelete
  3. Mzee comment yako kwenye live programme ya I.KIBONDE pale mwl.JK. Nyerere Air Port wakati wa kumsubili rich kuhusu BB KUWEMO KWENYE HOSTELI ZETU ZA VYUO VIKUU !imetulia ingawa wasomi hawakuipenda.

    ReplyDelete
  4. Nimefurahia sana maswali uliyomuuliza Rich. Umenukuu sehemu kubwa ya mjadala unaoendelea hapa kijijini. kEEP IT UP BRO

    ReplyDelete
  5. Michuzi jana umenifurahisha sana ulivyowachomekea hao jamaa ishu ya "Kujaaliwa". Naona ulimkamata kila mtu manaake kwanza uliwapiga kiswahili cha mzunguko kiasi kwamba ukawapoteza wao walikuwa wanafikiria mambo ya pwani kumbe wewe unaongelea ishu za mbele.

    Jamaa waliniacha hoi sana jinsi walivyoanza kucheka baada ya kujua unamaanisha nini.

    ReplyDelete
  6. samahani bwana Misupu, kuuliza si ujinga, hivi huyu Richard mbona hajui kuvaa? pamoja na huo mshiko aloupata mbona anavaa majeans yaliyopauka na vi t-shirt uchwara? kweli pesa ni kwa wale wanaojua kuitumia, hana wardrobe advisor????? SHAME!! ETI MILLIONAIRE!

    ReplyDelete
  7. Jamani yote TISA.... LA KUMI Michuzi unajua kuyarudi magoma. Una miaka mingapi? Hongera kaka jana ulivyokua unacharanga midundo mmh! Ila Jackiline mmh! Sauti ya kishari akiwa anaongea tofauti na akiimba. Yule mrembo mwingine ni nani?

    ReplyDelete
  8. HUZEEKI BABA... UNAJUA KU-DANCE

    EHE! UPO IN LOVE NA NANI?

    ReplyDelete
  9. Kaka Hebu twende pamoja tupe sehemu ya mahojiano na sie tusikie yaliyojiri maana inaelekea ilikuwa poa sana

    ReplyDelete
  10. MICHUZI ULIKUWA NA MAANA GANI KUMWAMBIA RICHARD KWAMBA YEYE NI MSHINDI NA "AMEJAALIWA"?

    ReplyDelete
  11. ahaaa michuzi, yaani unataka kuniambia huyo dogo amekuzidi kete? yaani anatoa konozzz hivihivi na wewe umepose tuu unashindwa hata kupenyeza mkonozz wako kwa huyo wa pembeni yako?!

    ReplyDelete
  12. Huyo dada Jackie (sio K-lyin), ni huyo mwingine, juzi alitia aibu kidogo hapo studio, maana alionekana kumshobokea Richard live, alikuwa anaanza kupoteza mwelekeo, yaani kujigonga live na watu huku mitaani walishindwa kuelewa. hapo studio watu wanacheza tu kujifurahisha lakini mrembo huyo kakazana kumkumbatia tu Richard ambaye yeye alikuwa kila saa anamkumbusha ni mume wa mtu na kuinadi pete yake hadharani. kumbe hapa nje kamfuata tena na kuhakikisha yuko next to him. acheni kujirahisisha dada zetu esp kwenye hizi 10minutes fame!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...