Home
Unlabelled
eatv
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hivi michuzi unajijua kuwa na wewe ni staa wa Bongo? Kipaji chako cha picha kidumu, ulianza mbali nakumbuka enzi zileeee TSJ. Hongera sana.
ReplyDeleteMichuzi naona semina yako elekezi ya MIKONOOOZZZ imeeleweka hata Rich naona kafuata hahaha !.
ReplyDeleteMzee comment yako kwenye live programme ya I.KIBONDE pale mwl.JK. Nyerere Air Port wakati wa kumsubili rich kuhusu BB KUWEMO KWENYE HOSTELI ZETU ZA VYUO VIKUU !imetulia ingawa wasomi hawakuipenda.
ReplyDeleteNimefurahia sana maswali uliyomuuliza Rich. Umenukuu sehemu kubwa ya mjadala unaoendelea hapa kijijini. kEEP IT UP BRO
ReplyDeleteMichuzi jana umenifurahisha sana ulivyowachomekea hao jamaa ishu ya "Kujaaliwa". Naona ulimkamata kila mtu manaake kwanza uliwapiga kiswahili cha mzunguko kiasi kwamba ukawapoteza wao walikuwa wanafikiria mambo ya pwani kumbe wewe unaongelea ishu za mbele.
ReplyDeleteJamaa waliniacha hoi sana jinsi walivyoanza kucheka baada ya kujua unamaanisha nini.
samahani bwana Misupu, kuuliza si ujinga, hivi huyu Richard mbona hajui kuvaa? pamoja na huo mshiko aloupata mbona anavaa majeans yaliyopauka na vi t-shirt uchwara? kweli pesa ni kwa wale wanaojua kuitumia, hana wardrobe advisor????? SHAME!! ETI MILLIONAIRE!
ReplyDeleteJamani yote TISA.... LA KUMI Michuzi unajua kuyarudi magoma. Una miaka mingapi? Hongera kaka jana ulivyokua unacharanga midundo mmh! Ila Jackiline mmh! Sauti ya kishari akiwa anaongea tofauti na akiimba. Yule mrembo mwingine ni nani?
ReplyDeleteHUZEEKI BABA... UNAJUA KU-DANCE
ReplyDeleteEHE! UPO IN LOVE NA NANI?
Kaka Hebu twende pamoja tupe sehemu ya mahojiano na sie tusikie yaliyojiri maana inaelekea ilikuwa poa sana
ReplyDeleteMICHUZI ULIKUWA NA MAANA GANI KUMWAMBIA RICHARD KWAMBA YEYE NI MSHINDI NA "AMEJAALIWA"?
ReplyDeleteahaaa michuzi, yaani unataka kuniambia huyo dogo amekuzidi kete? yaani anatoa konozzz hivihivi na wewe umepose tuu unashindwa hata kupenyeza mkonozz wako kwa huyo wa pembeni yako?!
ReplyDeleteHuyo dada Jackie (sio K-lyin), ni huyo mwingine, juzi alitia aibu kidogo hapo studio, maana alionekana kumshobokea Richard live, alikuwa anaanza kupoteza mwelekeo, yaani kujigonga live na watu huku mitaani walishindwa kuelewa. hapo studio watu wanacheza tu kujifurahisha lakini mrembo huyo kakazana kumkumbatia tu Richard ambaye yeye alikuwa kila saa anamkumbusha ni mume wa mtu na kuinadi pete yake hadharani. kumbe hapa nje kamfuata tena na kuhakikisha yuko next to him. acheni kujirahisisha dada zetu esp kwenye hizi 10minutes fame!!!
ReplyDelete