Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 14 mpaka sasa

  1. KAMA SIKOSEI HUYO NI MTOTO MZURI T K !

    Mzushi

    ReplyDelete
  2. I DID NOT KNOW THAT "MICHUZI" YOU LOVE WITHCRAFT.....

    ReplyDelete
  3. michuzi kwa visingizio mmhh!!!!!!! ati halloween .maaawe!!!!!!!1

    ReplyDelete
  4. Aiii....Haloweni kwa culture ya ki Tanzaniz tunayo? huku watu wanasherekea

    ReplyDelete
  5. Mithupu eeh!!
    Haloweni ya Tanzania ni tarehe ngapi???
    Mie na kukaa kwangu kwote Tz mbona sikuwahi kusikia siku hii kama ipo??

    ReplyDelete
  6. hamna sababu ya Kuweka mask sura zenu, costume za hallowen, mnatisha, hasa michuzi hiyo mimacho na hiyo midomo iliyoungua kwa sigara, mmmm hahahha wuuuuu

    ReplyDelete
  7. michuzi we haloween yako tarehe ngapi?

    ReplyDelete
  8. MBONA HAMJAVAA KAMA HALOWEEN?

    ReplyDelete
  9. Sasa Michuzi unakuwa mshirikina > Mungu akuzindue mapema

    ReplyDelete
  10. he michuzi kumbe una pua kubwa hivyo? au umecheka sana ndo mana? hahahaha

    ReplyDelete
  11. Maajabu ya jini Kabulaaaaaaaaaaaaa likiwa na michuzi sio mchezo,michuzi akikuta Jura hapo mi simo

    ReplyDelete
  12. Nafikili maoni yote hapo ni ya wabongo washamba,kwa nini watu hawapendi kuongea mambo mazuri yanayowahusu watu wengine na kuongea upumbavu mtupu. Kama hamna cha kuongea nendeni na shida zenu mwacheni michuzi hafurahi kwani watu wanaishi mara moja.Hii tabia ya kishenzi ndio inayotudumaza na kuishindwa kufanikiwa siku zote kwanini hatuyatumii maneno yenye kupeana moyo kama hongera,safi sana kaka au babu kubwa.Kuongea kama stupid si ujanja, wala si sifa hivyo mr michuzi hawa watu ni wajinga hasa kama huyo aliyozungumzia mambo ya sigara ni personal issue hiyo.Watu wengine wana raana kwa familia zao na wanataka kutulia watu mabalaa yao.They can go to hell and kiss my ass.
    Gangwe Msemakweli.

    ReplyDelete
  13. Kwanza napenda kumuunga mkon gangwemsemakweli,kwa maneno yake ya kweli wabongo tuna tabia ya kuzalauliana na kujifanya kujua. Mtu akiulizwa habari za mtu badala ya kuongea mambo ya kawaida ataanza utazani cherehani au ana uhalisho wa maneno machafu hata kama ni rafikie.Hii tabia haitatujenga na ndio maana hata wageni watakuja ongoza nchi sisi wenyewe tukizalauliana kwa nini tunakubali kuishi kama babu zetu walivyoishi jamani mabadiliko. Sio mpaka upigiwe ngoma kua. wapewape ganwe.

    ReplyDelete
  14. michuzi/mishuziii! umetoka kama nyau wa porini la hiyo halloween costume

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...