mdau issa wa sweden akichilli na jide usiku wa kuamkia leo chinese restaurant

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. JIDE mikonoz!
    na titiz close na issa,usimuumize gadna wa watu!

    ReplyDelete
  2. Oyaaaa!! Mbona umefanana na Issa Akena!!! Kama ndio wewe mshkaji, basi tulisoma wote Upanga Primary! Tuwasiliane kwa email hii jinalangu@hotmail.com ili tuweze kujikumbusha enzi!!
    Mimi najiendeleza kielimu hapa USA

    ReplyDelete
  3. Mbona sura zao hawaonekani kama wako Ulaya?

    Au ndio pombe hizo maana pombe huwa zinachusha watu sana ulaya

    ReplyDelete
  4. oya calis akena sema....mimi ni kaka yako wa kinondoni nipo hapa sweden...tuwasiliane thenman1@hotmail.com

    ReplyDelete
  5. Mhhh...jamani narudia tena...kwa mila zetu waafrika ni kazi sana kuoa ma-celebrity...hapo mzee gadna una kazi sana...maana naona washika dau wanamgeuza bibie gitaa la soo

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...