Home
Unlabelled
jide na wadau
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mgema akisiwa!!! Mama Jide ulisifiwa kwamba unavaa kiheshima, inakuwaje tena umerudi kulekule??? au uliambiwa hupendezi??
ReplyDeletembona wamechoka namna hiyo au ndio fresh from Africa?
ReplyDeletelet's keep it real,this girl(jide) is tooooooooooooooooooooooooooooooooooooo uglyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyy.
ReplyDeleteJide too ugly kwani Umemuumba wewe?? We kama mzuri ulijiumba mwenyewe nini? acha kuingilia kazi ya mungu.. anaumba atakavyo wangu..
ReplyDeletemichuzi huyo kijana wa kulia ni mkazi wa UK. wala si mkazi wa Canada.
ReplyDeleteHawa wa CANADA labda wanatoka NUNAVUT au YUKON lakini kwa mjini tunajuana wote, si miongoni mwetu hao!!
ReplyDeleteWashikaji inaelekea wamechoka na boksi, bakini Dar mle maisha, kila kitu tambarare hapa.
ReplyDeleteOfcourse she is too ugly.Probably you anonymous nov 17, 6:23 are ugly too.Si lazima niwe Mungu kujuwa nani ana sura mbaya au nzuri.
ReplyDeleteMbona wabongo midomo imezidi mara she's ugly mara wamechoka hebu wekeni nyinyi sura zenu tuzione hapo, vibwengo wakubwa. Rama, big up kichaa wangu.
ReplyDeletenyinyi watoa kashfa including Michuzi (sorry...not very sure dear...ila naomba usibane hii)...kiboko chenu nyinyi ni RAY C......kawakandamizia STOOOP....nakumbuka mlimaliza matusi yote siku hiyo.....sasa huyu Jide wangu yeye anaamini kwamba Ray C hana ushirikiano......haya mama endelea kujitundika kwenye blog uonyeshe huo ushirikiano wako.....na hiyo mihasira yako mwe!!!
ReplyDeleteMICHUZI MBONA HUCHEZI MBALI NA JIDE! TUANZE VIKAO SISIMIZI BAA NINI? AU KAMERA YAKO IMEKWAMA HAPO, WEKA SENTI TANO JUU YA KIDOLE ILI IFYATUKE.
ReplyDeleteMmmh..jamani ugly na beautiful ni kazi ya Mola...ula mzee gadna sijui aliona nini hapo...au ndo hapendwi m2 linapendwa poc**!!!
ReplyDeleteKwanza nianze kwa kuwapa ukweli washamba wengine hapo juu hii tabia ya wabongo kukashifiana itaisha lini hii web ya michuzi ni njia nzuri ya kukumbuka na kuona baadhi ya marafiki wa miaka mingi sasa hiyo tabia ya kukashifu itafanya watu waogope kujihusisha na web hii nafikili hakuna sababu ya kutukana au kukashifu watu.Acheni ushamba wenu watu kwanini mnashindwa kuongea vitu vizuri na manaongea utafikili mnataka kuharisha maneno, sasa ulitaka wewe ndio uwepo hapo mwacheni mshikaji ajidai.Tabia hizi za kishenzi ndio zinasababisha kukumbatia wageni na kujicholesha mara kwa mara.ACHENI UJINGA HESHIMA NI KITU YA BURE. Sio lazima awe baba yako au mama yako, au kaka yako au dada yako ndio uheshim tukijiheshim wenyewe kwanza hata wageni watatuheshim hivyo kabla hujaandika kama unajisikia kwenda chooni nenda kwanza halafu ndio andika.
ReplyDeletewewe "gangwemsemakweli" naona ni kama walewale tu...we heshima gani unayoizungumzia hapo? na ya huyu dada kuacha maungo yake nje? tena angekuwa dada yangu ndo ningemtandika viboko vibaya mno..kama issue ni kuimba mbona hata Nyota Waziri anaimba na hata siku moja hajirahisishi namna hiyo? ebu acha kutetea vitu vinavyoporomosha maadili...mke wa m2 sharti ajiheshimu...ndo maana mshikaji hapo akauliza...gadner amependa pochi au? maana kawaida huwezi kuvumilia ujinga huu
ReplyDeleteJamani Watanzania wenzangu ambao mmeacha Comment on this Blog, Hivi kweli mmna muda wa kukaa na kuwakashifu watu? Tumieni muda wenu kusema yamaana na kama huna kitu kizuri au chamaana usisime kitu......Kwanza nianze na waliocomment kuhusu Jide...Anaesema ni mmbaya...Unamkosoa Mungu??!!.......Brave!!..Ambacho yeye hana hata wewe huna.Na kuhusu mavazi si ameamua mwenyewe na kwani alivyotoka ndani mumewake hakumuona??!!.....Anaesema kuhusu watu wa nje kuchoka....na box limewachosha.....Nani amekwambia wanapiga box?!!..."HATERS"....Watu inahitaji muache uignorant wenu, kwani kila mtu anaekaa ulaya anapiga box?? na hata kama wanapiga box si wao, wewe yanakuhusu nini at least wao hawana muda kama wewe wakukaa na kuacha comment za kipumbavu...Unahitaji A BRAIN CELL or a heart. Gangwemsemakweli endelea kuwaelimisha hawa ignorant people in here........
ReplyDeleteJnr,PTTN Says hi!!