gwiji la muziki wa kizazi kipya toka uganda jumamosi hii atakuwa edmonton, canada, kwa shoo kabambe ambayo wadau wa huko wameambiwa wakae mkao wa kula. shoo hiyo itafanyika ukumbi wa vedic centre 12840-57 St. jirani ya belvedre urt kuanzia saa moja jioni ya huko

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. wadau wa Canada kaeni chonjo, msilipe mpaka msikie yupo ukumbini,waulizeni wadau wa Glasgow last month hakutokea ingawa walilipishwa, kama hiyo haitoshi ulizeni bana ba Holland hakutokea,next victims ......CANADA

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...