tamasha maarufu la muziki la sauti za busara litafanyika mwezi februari mwakani lakini tayari mabango ya kulitangaza yametapakaa kila kona ikionesha jinsi waandaaji walivyo makini tofauti na matamasha mengine ambayo unayasikia wakati wa kuzinduliwa tu. huu ni mfano wa kuigwa kwani bila promosheni ya mapema shughuli kama hii huweza kudoda

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...