Home
Unlabelled
lonji
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Michuzi,naona umeamua kuwasitiri wanaoendesha hiyo lounge kwa kutofotoa sehemu ya dari iliyotoboka. Maana kuna bonge la mtobo hapo Zenji lounge, kaa pametafunwa na Panya Buku!!! Mapato yote hayo bado dari la lounge ya International Airport ina matundu???? BIG BROBLEM !!!
ReplyDeletenaomba mnisaidie kimawazo. hapo zenji airport tunalipa alfu tano,lakini jamani hapana jamaa ni wachafu!acha mtobo aliousema mwenzangu hapo juu, ile picha ya Marehemu karume!jamani mpaka picha ni chafuuuu!halafu hao watu wa hapo sijui ndio duty free shop, kama wako ntumbani!shaka hawana wanajivuta na mabaibui yao!wala hawana haraka!sijui kama kuna management hapo!
ReplyDelete