lonji ya abiria uwanja wa ndege wa kimataifa wa zenj

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Michuzi,naona umeamua kuwasitiri wanaoendesha hiyo lounge kwa kutofotoa sehemu ya dari iliyotoboka. Maana kuna bonge la mtobo hapo Zenji lounge, kaa pametafunwa na Panya Buku!!! Mapato yote hayo bado dari la lounge ya International Airport ina matundu???? BIG BROBLEM !!!

    ReplyDelete
  2. naomba mnisaidie kimawazo. hapo zenji airport tunalipa alfu tano,lakini jamani hapana jamaa ni wachafu!acha mtobo aliousema mwenzangu hapo juu, ile picha ya Marehemu karume!jamani mpaka picha ni chafuuuu!halafu hao watu wa hapo sijui ndio duty free shop, kama wako ntumbani!shaka hawana wanajivuta na mabaibui yao!wala hawana haraka!sijui kama kuna management hapo!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...