Michuzi,
Majuzi nilibahatika mimi na wenzangu kwenda kwenye show live ya huyo mwana mama Mbilia Bel. Umri umeenda ila kiuno chake kama cha kijana wa miaka 20, kinazunguka balaa.Kichekesho ni kwamba all of us that day tulipewa task tofauti tafauti siku ya onyesho mfano audience survey kama wanafurahia show, exhibition etc.. ila tuli-enjoy sana.
John Mnamba
Mmmh!!mwanamama mziki umeshakutoka umebaki kukaa uchi tuu!! duuh " kipapa" hicho..
ReplyDeleteKweli maini hayazeeki Michuzi...huyu mama bado yuko "hot" ni hakuna mfano...kwani ana miaka mingapi saiz? mwenye data tafadhali weka uchi!!!
ReplyDeletewaosha vinywa vipi mbona kimyaa!!!!lakini mara ohh ohhh richard hivi mara vile,huyo mama sasa yuko uchi na watu hamtii neno.
ReplyDeletewabongo nomaaa!!!
CHA CHANDU- UK
msimsimange mtoto wa mwenzenu wakati ya kwenu yanawashinda.i learn this from my late daddy.He was the best daddy i ever seen in my life.AND LINDA GO, GO LINDA MANENO YA WAPANGAJI HAYAMZUII MWENYE NYUMBA KULALA COS MWENYE NYUMBA NDO MMILIKI, HAO WENGINE NI WAPANGAJI TUUU!!!!
Michuzi, nimekutumia posting ya Mbilia...nashangaa hujaipost mpka sasa. Please naomba ufanye hivyo
ReplyDelete