Home
Unlabelled
maraha
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
hizo raha za hapo zinatakiwa ziende sambamba na ukirudi home kwenye makazi,sio mara luku,mara maji mgao,matibabu adimu,mara foleni kuukuu za magari,mara mafuriko katikati ya mji
ReplyDeletewatoto wameshakunya humo kwenye maji, wengine hata mwezi hawajaoga na magonjwa ya ngozi halafu unaita maraha.
ReplyDeleteNaomba kuuliza huko ulaya watoto hawanyi wala kukojoha kwenye maji, au hayo magonjwa ya ngozi hamna?.
ReplyDeletehapo mimi siwezi kanyaga maana risk sana na hao watoto wa uswahilini maji mabombani hakuna na hawajaoga mwezi...no no no mnisamehe hapo wadau!...i just cant do that its just too risky!
ReplyDelete