nani kasema bongo ni mlima kilimanjaro, wanyama mwitu na zanzibar pekee na hakuna maraha mengine ya kuvutia watalii? hapa ni wet and wild kunduchi leo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. hizo raha za hapo zinatakiwa ziende sambamba na ukirudi home kwenye makazi,sio mara luku,mara maji mgao,matibabu adimu,mara foleni kuukuu za magari,mara mafuriko katikati ya mji

    ReplyDelete
  2. watoto wameshakunya humo kwenye maji, wengine hata mwezi hawajaoga na magonjwa ya ngozi halafu unaita maraha.

    ReplyDelete
  3. Naomba kuuliza huko ulaya watoto hawanyi wala kukojoha kwenye maji, au hayo magonjwa ya ngozi hamna?.

    ReplyDelete
  4. hapo mimi siwezi kanyaga maana risk sana na hao watoto wa uswahilini maji mabombani hakuna na hawajaoga mwezi...no no no mnisamehe hapo wadau!...i just cant do that its just too risky!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...