
nyasi bandia za neshno

wanja la zamani la neshno stedium limeshawekwa nyasi bandia tayari kutumiwa. mchezo wa kwanza utakuwa keshokutwa jumatano kati ya timu ya taifa ya bara kilimanjaro stars na timu ya taifa ya zambia chipolopolo. pia utatumika kwa mechi za chalenji kwa nchi za afrika mashariki na kati mapema mwezi ujao. neshno mpya haijakamilika sehemu za kukimbilia hivyo bado kukabidhiwa tayari kwa matumizi. redio mbao zinasema huenda utafunguliwa mapema mwakani
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...