mchezaji wa zamani wa staaz toka kagera leopard tasso mukebezi (nyekundu) ndiye meneja mpya wa timu ya taifa ya bara kilimanjaro stars. kulia ni mganga wa timu hiyo dk. mwankemwa wakiwa na wachezaji wakati wa tizi leo neshno kujiandaa na mchezo wao na chiplopolo jumatano

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Dah huyu Daktari anafanana na walinzi wa Mobutu Sese Seko.

    ReplyDelete
  2. Sasa we Patrick Kobelo unfanya nini hapo kwenye benchi la Taifa?
    Poa jibaba kaza uzi labda na wewe utaitwa next team!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...