vimwana wa ngwasuma wakiwa kwenye mapozi. vijana wengi wa kike na wa kiume wamepata ajira kwa kushambulia jukwaa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Mh!! haya mamaaz, naona full mikonozzz, ila jikingeni na Ukimwi manake kila mkware anawaangalia nyie tu!!!

    ReplyDelete
  2. dah!! hii yote mitego tu kudadadek...kweli hom hom tu! enzi zangu hapo hakatizi mtu lazima ningeua mmoja!!! soon ntarudi, niendeleze libeneke!!!!

    ReplyDelete
  3. mbona mnaona aibu na ngozi nyeusi kama mkaa...mnajipaka rangi au mnaogelea na maziwa???

    ReplyDelete
  4. kweli ma sister ni wazuri jamani mumeolewa?kuna jamaa wanatafuta wake hivyo mjulisheni michuzi ani contact.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...