bango la iliyokuwa millenium towers hotel pale kijitonyama usoni pa break point na inter house limeshushwa rasmi leo na kuwekwa la peacock millenium towers hotel likiashiria ujio wa mwekezaji mpya mzalendo baada ya jamaa wa sauzi kufanya usanii na kuingia mitini majuzi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Afadhali wamejifunza japo ni kwa hard way. Wamwachie tu Sanga wetu wa Peacock afaidi michango yetu watanzania. Yaani mi kimeniuma kweli jinsi hao wasauzi walivyoiba michango ya watanzania maskini wavuja jasho

    ReplyDelete
  2. TANZANIA NI NCHI YA `MOVE-N-PICK' KAMA WENYEWE WAWEKEZAJI WANAVYOIITA WAKIMAANISHA INGIA TANZANIA FANYA BIASHARA MIAKA MITANO BILA KULIPA KODI KISHA ONDOKA URUDI TENA KWA JINA JINGINE.MTANZANIA ANAPOAJIRIWA HUANZA KULIPA KODI KABLA YA KUUSHIKA MKONONI MSHAHARA WAKE WA KWANZA, KODI HII NDIYO SERIKALI YETU TUKUFU INAYOITHAMINI SANA NDIYO MAANA LEO TUNALAZIMIKA KUCHANGIA UJENZI WA SHULE. MUNGU IBARIKI CCM, TUBARIKI WATANZANIA KWA WEMA WETU.

    ReplyDelete
  3. Tambarare kwa wawekezaji kutoka Bondeni lakini mlima kwa wazawa na Everest kwa walalahoi.

    ReplyDelete
  4. ENJOY THE TAX HOLIDAYS FOR FIVE YEARS AND THEN...........simply change the NAME while maintaining the same MANAGEMENT..........Mtizameni MOVENPICK ndio mtauelewa huu UFIRAUNI.......and lets look at UMEME issue.......SUPLLY MAFUTA YAKO MWENYEWE KWENYE GRIDI...NUNUA UMEME ULIOUZALISHA MWENYEWE ILI UWAUZIE HAO WADANGANYIKA WAKO.....UMEHITAJI AU HUKUHITAJI UMEME KWA MWEZI FULANI....BILIONI 3 YETU LAZIMA UILIPE KWA MWEZI.....any smart move tunakuMUGABE

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...