Home
Unlabelled
peacok
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Afadhali wamejifunza japo ni kwa hard way. Wamwachie tu Sanga wetu wa Peacock afaidi michango yetu watanzania. Yaani mi kimeniuma kweli jinsi hao wasauzi walivyoiba michango ya watanzania maskini wavuja jasho
ReplyDeleteTANZANIA NI NCHI YA `MOVE-N-PICK' KAMA WENYEWE WAWEKEZAJI WANAVYOIITA WAKIMAANISHA INGIA TANZANIA FANYA BIASHARA MIAKA MITANO BILA KULIPA KODI KISHA ONDOKA URUDI TENA KWA JINA JINGINE.MTANZANIA ANAPOAJIRIWA HUANZA KULIPA KODI KABLA YA KUUSHIKA MKONONI MSHAHARA WAKE WA KWANZA, KODI HII NDIYO SERIKALI YETU TUKUFU INAYOITHAMINI SANA NDIYO MAANA LEO TUNALAZIMIKA KUCHANGIA UJENZI WA SHULE. MUNGU IBARIKI CCM, TUBARIKI WATANZANIA KWA WEMA WETU.
ReplyDeleteTambarare kwa wawekezaji kutoka Bondeni lakini mlima kwa wazawa na Everest kwa walalahoi.
ReplyDeleteENJOY THE TAX HOLIDAYS FOR FIVE YEARS AND THEN...........simply change the NAME while maintaining the same MANAGEMENT..........Mtizameni MOVENPICK ndio mtauelewa huu UFIRAUNI.......and lets look at UMEME issue.......SUPLLY MAFUTA YAKO MWENYEWE KWENYE GRIDI...NUNUA UMEME ULIOUZALISHA MWENYEWE ILI UWAUZIE HAO WADANGANYIKA WAKO.....UMEHITAJI AU HUKUHITAJI UMEME KWA MWEZI FULANI....BILIONI 3 YETU LAZIMA UILIPE KWA MWEZI.....any smart move tunakuMUGABE
ReplyDelete