prezidaa wa fm academia nyoshi el sadat akila pozi na mchekeshaji steve nyerere jana msasani klabu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 17 mpaka sasa

  1. Kaka Michu buheri weye?

    Tunasikia bondia wa Tanzania,Japhet Kaseba ambaye alikuwa bingwa wa mabara juzi kaibuka na ubingwa wa dunia katika mchezo wa kickbox. Tunakutegemea kwa habari zaidi shekhe!

    Masai

    ReplyDelete
  2. prezidaa ametoroka zoo nini????

    ReplyDelete
  3. Mkorogo poa sana nyie acheni tu

    ReplyDelete
  4. Huyo wa kushoto ni mwanaume au mwanamke?

    ReplyDelete
  5. ISSA JAMAA ANAVUUUTIA KAMA "..CAVE MAN.."

    ReplyDelete
  6. he he he!prezidaa needs to relax hizo issue anazotumia zitamuua

    ReplyDelete
  7. prezidaa is more like a first lady

    ReplyDelete
  8. huyu ni Auntie nini?? manake duuuh huo mkorogo....mimi hoi...dayuum bro!

    ReplyDelete
  9. Jamani kwani Wazaire hamwajui?? wanaume kujichuna kwao ni normal, mbona hata wanaume wa kibongo nao washaanza kamtindo haka wanashindana urembo na akina dada!!

    ReplyDelete
  10. mi nafkiri hawa kujichubua ni jadi yao huko zairwaa ,ila kwa joto la dar es salaam ataipata na mkorogo wake, yaani mpaka anampita mkewe kwa kujichubua

    ReplyDelete
  11. prezidoo kasahau mkorogo mikononi, kwani mikono bado meusi ilihali uso unangara!!!! kazana tuu preziii, utafika kwa wakina michael jackson
    nana

    ReplyDelete
  12. Mhh, yaani mimi ni mshamba sijapata kuona. mbali na huo mkorogo sasa hapa nashindwa kuelewa hiyo nguo ya juu ya huo prezidaa ni blouse ya kike, au body tight za wanaume, au nini sijui. hebu mnifahamishe mmatumbi mie

    ReplyDelete
  13. mhhh kaka michuzi nyoshi amekua kama michael jackson???si mumshauri apunguze jamani,watu watakua hawajui tofauti yake na rukia salum sasa duh.

    ReplyDelete
  14. Talatibuuuu"aliimba lipokuwa FM academia mwacheni ajikoboe ngojeni kansa ya ngozi itakapo ibuka ya matiti itawekwa nyuma muwape wazungu kazi ya kuvumbua dawa na ulaji juu

    ReplyDelete
  15. DU....MASHOGA HAO......

    ReplyDelete
  16. wewe Nyoshi hebu acha kuvaliana na mkeo Rukia, mlianza kuvaliana mawigi mpaka siku ile alivyokuvua wigi lake la afro kwenye starehe ndio ukapunguza, naona sasa umeanza kuvaa blouse zake... ohooo shaurimyako kwani mkeo mwenyewe kadata huyo atakuvua hiyo top yake. kwani huoni hata hayo marinda ya blouse hapo mkononi ni ya kike?

    ReplyDelete
  17. Shoga kaukoroga huyo amna mchezo. Nini siri ya urembo wako shoga?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...