Home
Unlabelled
prezidaa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kaka Michu buheri weye?
ReplyDeleteTunasikia bondia wa Tanzania,Japhet Kaseba ambaye alikuwa bingwa wa mabara juzi kaibuka na ubingwa wa dunia katika mchezo wa kickbox. Tunakutegemea kwa habari zaidi shekhe!
Masai
prezidaa ametoroka zoo nini????
ReplyDeleteMkorogo poa sana nyie acheni tu
ReplyDeleteHuyo wa kushoto ni mwanaume au mwanamke?
ReplyDeleteISSA JAMAA ANAVUUUTIA KAMA "..CAVE MAN.."
ReplyDeletehe he he!prezidaa needs to relax hizo issue anazotumia zitamuua
ReplyDeleteprezidaa is more like a first lady
ReplyDeletehuyu ni Auntie nini?? manake duuuh huo mkorogo....mimi hoi...dayuum bro!
ReplyDeleteJamani kwani Wazaire hamwajui?? wanaume kujichuna kwao ni normal, mbona hata wanaume wa kibongo nao washaanza kamtindo haka wanashindana urembo na akina dada!!
ReplyDeletemi nafkiri hawa kujichubua ni jadi yao huko zairwaa ,ila kwa joto la dar es salaam ataipata na mkorogo wake, yaani mpaka anampita mkewe kwa kujichubua
ReplyDeleteprezidoo kasahau mkorogo mikononi, kwani mikono bado meusi ilihali uso unangara!!!! kazana tuu preziii, utafika kwa wakina michael jackson
ReplyDeletenana
Mhh, yaani mimi ni mshamba sijapata kuona. mbali na huo mkorogo sasa hapa nashindwa kuelewa hiyo nguo ya juu ya huo prezidaa ni blouse ya kike, au body tight za wanaume, au nini sijui. hebu mnifahamishe mmatumbi mie
ReplyDeletemhhh kaka michuzi nyoshi amekua kama michael jackson???si mumshauri apunguze jamani,watu watakua hawajui tofauti yake na rukia salum sasa duh.
ReplyDeleteTalatibuuuu"aliimba lipokuwa FM academia mwacheni ajikoboe ngojeni kansa ya ngozi itakapo ibuka ya matiti itawekwa nyuma muwape wazungu kazi ya kuvumbua dawa na ulaji juu
ReplyDeleteDU....MASHOGA HAO......
ReplyDeletewewe Nyoshi hebu acha kuvaliana na mkeo Rukia, mlianza kuvaliana mawigi mpaka siku ile alivyokuvua wigi lake la afro kwenye starehe ndio ukapunguza, naona sasa umeanza kuvaa blouse zake... ohooo shaurimyako kwani mkeo mwenyewe kadata huyo atakuvua hiyo top yake. kwani huoni hata hayo marinda ya blouse hapo mkononi ni ya kike?
ReplyDeleteShoga kaukoroga huyo amna mchezo. Nini siri ya urembo wako shoga?
ReplyDelete