Home
Unlabelled
shabaha
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mwenye pikipiki ndiye anayejua kulenga.
ReplyDeleteYaani nimemwaminia mwendesha pikipiki huyo yaani anaendesha kiuhodari hasa.m
Mimi naendesha pikipiki lakini huyo mwenzangu namvulia kofia ana uwezo wa kuendesha pikipiki hadi kulenga kuiingiza kwenye mivungu ya magari kweli huyo kiboko!!!
Hahahahaha!!! Michuzi usinichekeshe, unanikumbushia Mpoki, Shabaha!!!!!
ReplyDeleteduuh! namwonea huruma mwenye pikipiki, kwa experience yangu najua miguu yake itakuwa katika hali mbaya, mungu amponye kama ameumia sana
ReplyDeleteIt is not funny.Mwenzeno yuko Muhimbili operation kibao. Bichwa,miguu,tumbo
ReplyDeletehow dare you guys. Msiweke utani kwenye mambo ya hatari, what if it was one of you, or your realatives involved in that accidents. muogope Mungu.
ReplyDeleteInna lilah Wa inna illayhi rajiwn... Hivi hili nalo lahitaji mzaha?
ReplyDeleteNadhani tumuombee Mungu amuafu huyo aliyepata ajali.. Si sahihi kukejeli.. Jiweke ktka nafasi ya muendesha pikipiki huyo au hata driver wa gari hilo, kisha toa maoni kwani naamini hii ni kweli na si sinema..