kuna wadau wameomba tukumbushie hili snepu la a-taun

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Yaani michu !!!!
    umenikumbusha mbali saaana
    kwetu nyumbani !!!
    jamani wadau wa A tauni, please niambieni hapo ndiyo uwanja wa Abeid Karume karibu na stendi ya mabasi au?
    maana picha inachanganya kidogo.
    Mithupu ! hizi ndizo picha ambazo zina pendezesha blog yako
    keep it up

    mdau canada

    ReplyDelete
  2. wow! nimecheza chipukizi hapo kwenye huo uwanja sana...

    ReplyDelete
  3. Nice view!. well done whoever snapped the scene.

    I wonder if we do have google satellite view for Bongo cities and towns!?!!!!!!!!

    Mdau

    ReplyDelete
  4. Kwa hapo katikati arusha in ramani lakini ukitoka nje ya hapo kidogo utafikiri ni mji mwingine kama 50miles away.
    Hii inaonyesha jinsi gani wazungu walivyokuwa makini lakini walivyokuja kupewa madaraka wanoijua rushwa wakaharibu mji wote.

    Hapo inaonekana round about ya mnara wa mwenge then uwanja wa Karume then stand ndogo almaarufu stand ya vifodi, kwa upande mwingine tunaona viwanja vya NMC.

    tha's all i can say

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...