Tanzania ambassador attacked in S.Africa robbery
Sat 29 Dec 2007,
JOHANNESBURG (Reuters) - Tanzania's ambassador to South Africa was beaten and his wife stabbed and wounded in a robbery during his farewell dinner in the capital Pretoria late on Friday, police said.
Police spokesman Paul Ramaloko said seven people were admitted to hospital after the attack at the home of a fellow Tanzanian that left ambassador Emmanuel Mwambulukutu unconscious and his wife with a stab wound to the head.
"They were attacked by four heavily armed suspects but we managed to arrest one suspect. We are hoping to make more arrests soon," he said on Saturday.
South Africa has one of the highest rates of violent crime in the world, and attacks on high-profile figures, including diplomats, have sparked new calls for a crackdown on violent crime.
A Vietnamese embassy official was shot and wounded by armed robbers at his home in Pretoria in October, while Dumisani Kumalo,
South Africa's Ambassador to the United Nations was robbed at gunpoint at his son's home in July.


Mungu wangu! Poleni Mzee na Mrs. Mwambulukutu.
ReplyDeleteJamani tunalilia Afrika Kusini. Kwenda huko ni roho mkononi kweli.
Hii inatisha! Tumuombee kwa Mwenyeenzi Mungu, Balozi wetu na mkewe wapone. Amen
ReplyDeleteSijui itakuaje kwenye hilo kombe la Dunia.
ReplyDeleteMzee Mwambulikutu poleni sana. Mungu atawajali mpone haraka.Kwa upande Mwingine Watu wa Afrika Kusini hawana ubinadamu kabisa. Nchi imemshinda Mbecki! About every body is crook...hata malezi ya familia zao hayana maadili kabisa....sorry for South Africa. Nchi huwezi kutembea umevaa pete ya harusi mkononi! Is not place to go ........Nchi gani hiii...
ReplyDeletepoleni wote, kina mzee mwambulukutu, mkewe, watoto wote, na waliokuwa kwenye party, tunawapenda sana sana,.
ReplyDeletepoleni sana sana, wote.
ReplyDeletepoleni jamani ..namkumbuka huyu baba alishakua na post fulani arusha nikiwa mdogo. Hata sikumbuki ni nini lakini watoto wake tulikua sunday school pamoja. Wlikua wanaletwa na gari ya serikali.
ReplyDeleteHuko south inaelekea ni moto tu...walimu wana rape, ukiwa na hela wanakunyang'anya, ukimwi ndio usiseme.....
Huko sio kwa kukimbilia kabisa siku hizi na wenyeji wanahasira za wageni matajiri wanaona wamekwenda kuwachukulia hela zao
salamu zangu kwa wanafamilia wote, poleni sana.
ReplyDeletesalamu na pole, kwa wanafamilia popote pale walipo, mungu awabariki, pole
ReplyDeletekaka michuzi, ningeomba tujumuike na ndugu zetu hawa majasiri, kwa muda waliotumikia nchi uko south africa, mungu awe nanyi.
ReplyDeletena kweli kaka michuzi ni ujasiri wa ajabu sana huo, lazima tuwe pamoja katika tukio hili.
ReplyDeletemichuzi usibane comment yangu, nawapa pole sana ndugu zetu hawa, na kwa matatizo yoyote pia ambayo wamekumbana nayo, mungu awe nanyi.
ReplyDeletemichuzi asante kwa taarifa, na mimi usibane comment yangu, greetings to everyone in the family popote pale walipo, ujasiri wa ajabu sana huu, poleni ndugu zangu.
ReplyDeleteasante michuzi kwa habari, greetings to the family, kwa kweli ni ujasiri wa ajabu sana.
ReplyDeletena ushauri mmoja muhimu, naomba waongeze ulinzi mkali sana, kwa wanafamilia na mzee hospitalini kwa kweli, ili mambo yawe shwari pote, maana sio tukio dogo hili. Kwanza chanzo ni nini hasa.
ReplyDeletehuyu mzee pia amewahi kunusurika katika mkasa fulani huko nyuma sikumbuki ni nini, maskini tumuombee kwa mungu jamani na familia yake.
ReplyDeletena kweli waongeze security uko hospitali na kufuatilia kwa makini sana.
ReplyDelete