Home
Unlabelled
geneva ya afrika
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Michuzi acha uzushi,Geneva ya Africa ni Addis Ababa,labda ungesema hiyo ni Geneva ya East Africa tungekuelewa au vipi.
ReplyDeletewe anon hapo juu unabishana nini wakati hata Clinton alihakikisha mwenyewe kua A-Taun ndio Geneva ya Africa.
ReplyDeleteAcheni utumwa wa kufikiri. Mwishowe Dar itaitwa Washington ya Afrika tehetehe. Huo ni upuuzi tu wa kuiita Arusha kuwa Geneva. Arusha ni Arusha tu. Mbona Geneva haijaitwa Arusha of Europe? Lini ukoloni wa mawazo na fikira utakoma?
ReplyDeleteWhos Clinton? si mtu tu kama wewe Sh$$%%****.Tatizo wala vumbi mnaabudu sana watu especially wadhungu,Sie huku, we dont mind a s**&&^^%%***.Endeleeni kuwaabudu ili waimalize kabisa nchi.
ReplyDelete