Home
Unlabelled
KUMI BORA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hao jamaa wa hiyo mitaa watakua tu wamefanya makusudi tu,wanajua kabisa ni maana ya hiyo vitu kwa kiswahili sema kutaka sifa tu.
ReplyDeleteSasa cha kufanya ni sisi kuipa mitaa yetu majina ya kufanana na vitu kama hivyo kwa lugha ya kwao,
Wakija juu tunawalazimisha wabadilishe ndipo nasi tubadilishe, au wadau mnasemaje??
ni mgongano wa lugha tu, mbona maneno mengi ya kiswahili yanakuwa na maana tofauti na vilevile matusi huku lugha za wenzetu, michuzi kadhamiria kutukumbusha viungo maalum kwa sisi tulio nje ya nci sije tukasahau lugha kabisa, au unasemaje kaka michu?
ReplyDeleteHa ha ha ha ...these people bwana are not sereous, ah yaani viungo vya siri wao ndo majina ya mitaa... I cant believe!!! Dah kudadadeki...he he kazi kweli kweli huko siendi na mkwe wangu wakike wala mama yangu.
ReplyDelete