Uncle Michuzi shikamoo, Mimi naitwa Kellyn Zumba naishi Kahama (Shinyanga). Ninapenda kuwatakia watanzania wote wanaosoma hii globu yetu ya jamii Christmas na Idd njema. Ahsante.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 16 mpaka sasa

  1. Nampongeza JK kwa maendeleo ya haraka na kuibadilisha Shinyanga katika kipindi cha muda mfupi. Siju Kahama itakuwa vipi sasa hivi maana miaka yote ni wilaya nzuri kuliko hata mkoani kwenyewe , Hongera !!!

    ReplyDelete
  2. shinyanga kuzuri

    ReplyDelete
  3. Shinyanga tambarare.

    ReplyDelete
  4. what a pretty baby...Happy holidays to you and your family too...

    ReplyDelete
  5. Hii, Jamani KATARINA kapendeza mwe!

    ReplyDelete
  6. Duh Kahama imebadirika namna hii, basi nitakuja tena nikitokea Kibondo hivi karibuni.

    ReplyDelete
  7. Cute baby. Na wewe sikuku njema!!!

    ReplyDelete
  8. Kwa kutumia nondo hiyo hiyo ya Corel Paint shop pro & Snapfire au Adobe photoshop au hata Roxio binti na aelee kama Harry Potter kwenye picha ya kweli ya huko Shinyanga au bariadi ndio tuseme.

    Obwatasyo Impokochole

    ReplyDelete
  9. Katoto kazuri jamani......

    ReplyDelete
  10. Haya Kelini, inaonekana wewe wazazi wako wanafanya kazi kwenye madini, maana hiyo hali siyo ya msukuma anayeishi kijijini. Na wewe x-mas njema na wazazi wako huko.

    ReplyDelete
  11. Jamani hebu acheni kuzua mambo! Kawaambia nani Shinyanga hapo? Huko watani zangu wasukuma pamoja na kulalia almasi kwenye ardhi yao wamejaa vumbiii hadi kwenye kope! 'Mabuzwagi' ya miaka nenda rudi yamesababisha mkoa huo uwe masikini kuliko. Kama mie mwongo Michuzi weka picha ya Shinyanga town tuone!!

    ReplyDelete
  12. Bongo tambarare lazima nirudi kama Shinyanga ni hivi je Dar?? ngoja niimbe kidogo...

    NAWEKA BOKSI CHINI NARUSHA MIKONO JUU BA-BA-BA-BANJUKA TU!!!

    NAWEKA VIBIBI NA VIBABU VIZEE CHINI NARUSHA MIKONO JUU BA-BA-BA-BANJUKA TU!!!

    ReplyDelete
  13. Oyaa, Shinyanga gani..Hapo ni Njombe mkoa wa iringa. Tulikua tunaishi Kibena nyuma ya hilo gorofa lefu. Idumu njombe, wabeba boksi karibuni.
    Kamwene..mnogage ulimnofu

    ReplyDelete
  14. Nakumbuka sana nyumbani Kahama.Nyasubi,Nyahanga,Nyashimbi,Nyihigo,Mhongolo,Mbulu,etc.Wanakahama nawatakia X-mass njema.

    ReplyDelete
  15. hii tabia ya kusaga wabeba box,sio nzuri.wenzenu west africa wanafanya vitu vya maana na pesa bos,watanzania na mdomo huku mnashindia maji!!

    ReplyDelete
  16. Eti samahani, unajua mi kidogo mshamba.

    Hivi hapo ndo pale shinyanga mitaa gani vile, unajua pamoja na kuzaliwa na kukulia shinyanga sijawahi kuiona lile jengo.

    Mjanja wa Bushi a.k.a Mshamba wa Town

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...