Home
Unlabelled
salaam toka shinyanga
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Nampongeza JK kwa maendeleo ya haraka na kuibadilisha Shinyanga katika kipindi cha muda mfupi. Siju Kahama itakuwa vipi sasa hivi maana miaka yote ni wilaya nzuri kuliko hata mkoani kwenyewe , Hongera !!!
ReplyDeleteshinyanga kuzuri
ReplyDeleteShinyanga tambarare.
ReplyDeletewhat a pretty baby...Happy holidays to you and your family too...
ReplyDeleteHii, Jamani KATARINA kapendeza mwe!
ReplyDeleteDuh Kahama imebadirika namna hii, basi nitakuja tena nikitokea Kibondo hivi karibuni.
ReplyDeleteCute baby. Na wewe sikuku njema!!!
ReplyDeleteKwa kutumia nondo hiyo hiyo ya Corel Paint shop pro & Snapfire au Adobe photoshop au hata Roxio binti na aelee kama Harry Potter kwenye picha ya kweli ya huko Shinyanga au bariadi ndio tuseme.
ReplyDeleteObwatasyo Impokochole
Katoto kazuri jamani......
ReplyDeleteHaya Kelini, inaonekana wewe wazazi wako wanafanya kazi kwenye madini, maana hiyo hali siyo ya msukuma anayeishi kijijini. Na wewe x-mas njema na wazazi wako huko.
ReplyDeleteJamani hebu acheni kuzua mambo! Kawaambia nani Shinyanga hapo? Huko watani zangu wasukuma pamoja na kulalia almasi kwenye ardhi yao wamejaa vumbiii hadi kwenye kope! 'Mabuzwagi' ya miaka nenda rudi yamesababisha mkoa huo uwe masikini kuliko. Kama mie mwongo Michuzi weka picha ya Shinyanga town tuone!!
ReplyDeleteBongo tambarare lazima nirudi kama Shinyanga ni hivi je Dar?? ngoja niimbe kidogo...
ReplyDeleteNAWEKA BOKSI CHINI NARUSHA MIKONO JUU BA-BA-BA-BANJUKA TU!!!
NAWEKA VIBIBI NA VIBABU VIZEE CHINI NARUSHA MIKONO JUU BA-BA-BA-BANJUKA TU!!!
Oyaa, Shinyanga gani..Hapo ni Njombe mkoa wa iringa. Tulikua tunaishi Kibena nyuma ya hilo gorofa lefu. Idumu njombe, wabeba boksi karibuni.
ReplyDeleteKamwene..mnogage ulimnofu
Nakumbuka sana nyumbani Kahama.Nyasubi,Nyahanga,Nyashimbi,Nyihigo,Mhongolo,Mbulu,etc.Wanakahama nawatakia X-mass njema.
ReplyDeletehii tabia ya kusaga wabeba box,sio nzuri.wenzenu west africa wanafanya vitu vya maana na pesa bos,watanzania na mdomo huku mnashindia maji!!
ReplyDeleteEti samahani, unajua mi kidogo mshamba.
ReplyDeleteHivi hapo ndo pale shinyanga mitaa gani vile, unajua pamoja na kuzaliwa na kukulia shinyanga sijawahi kuiona lile jengo.
Mjanja wa Bushi a.k.a Mshamba wa Town