
Mie ni mtanzania niliyeko Wroclaw, Poland, nakupongeza kaka michuzi kwa kazi nzuri sana kwa kutuunganisha wabongo wote katika blog hii. Pia nawatakia wapenzi wa blog hii heri ya mwaka mpya na fanaka tele popote waliko na watanzania wote hapo bongo.
May blog hii idumu na kufanikiwa kuwaunganisha wabongo daima
Mdau Emmanuel Lazaro


Vishoko hao.... uko salam uko ??
ReplyDeleteJen Dablin ...
asanti kaka Ima, na wewi pia..je, makaratasi ya Poland utapati lini? mmh,nakuombia upate haraka kaka, uangalie mbele na maisha, mana inaonikana bado unanyinyikea kwa wife ili kuyangojea, picha inajieleza.Wenzie timeumizwa sana akili na haya mambo..Poli mwinzetu.
ReplyDeletejamani Hongera zako, mama mkwe anakupenda kweli...sijui umewapa nini?? anakuinamia karibu namna hiyo...maana hao kwa unafiki ni nambari 1...professional hypocrites..kila la kheri na please muambia wife kuna vitu vinaitwa Gym
ReplyDeletewapi hapo ndugu...soup kitchen for homeless!!!
ReplyDeleteKweli penzi ni kikohozi. hapo piga ua makaratasi lazima yapatikane, hongera sana bro kwa ujasili.
ReplyDeletekaka mbona haujatuambia shemeji ni yupi hapa!! Anyway Hongera maana naona utakua unakamilshiwa kila kitu hapa na unasubiri urithi kwa hamu maana atakutoka huyu kabla ya wewe. Teh teh!! Mambo ya ughaibuni haya...
ReplyDeleteKweli nimeshangazwa na maoni yaliyotolewa kuhusu hii picha. Ningependa for 2008, watu wapunguze kutoa maoni ya kijinga, yaliyojaa chuki ama wivu towards mtu wasiyemjua at all wala kujua katoka wapi. Nawatakia a blessed 2008!!
ReplyDeleteTo be Honest Si Kila aliyeko Ulaya basi anaoa ili apate makaratasi.. SOME OF US ARE PROFESSIONALS, Sasa Nawashangaa sana watu wanaocomment kwa uzoefu wa maisha yao ya chini na duni kwa Mtu wasiyemjua.
ReplyDelete2008 should be a year 4 change kwa wana globu wote. Kama huna cha kucomment basi soma na upite uyaache kama yalivyo.
Guys Grow Up.
Najua kuna watu watafungua mjadala wa comment hii.. Ila tukue jamani. Sio kila ulichofanya wewe au rafiki zako basi kila mtu anafanya.
we anon unayesema umeshangazwa na maoni, picha na hali yenyewe inajieleza, na isitoshe walioandika maoni wengi hapo wanaishi hukuhuku nje, so hali wanaielewa,,wewe kama hauko nje tulia kimya, na kama uko nje ila ulipata namna zako za kusurvive kwa namna ingine, we tulia tena tulia kimya kabisa,,hizi comments zinaongelea general situation ya maforeigner walio wengi wanavyochakarika kutafuta life huku ughaibuni, so kama hayakuhusu wewe yaache, sisi wengine yanatuhusu tumesota saana,,hivyo tunamuombea kaka Emmanuel kila la kheri na zaidi mimi kaka ninakuombea UVUMILIVU, mana hawa wenzetu weupe hawa, unaweza vumilia sana vikakushinda ukatimka bila karatasi, ila usichoke, vumilia kaka,,,bembeleza albino huyo mpaka hapo karatasi litakapopatikana, then menginewe utajua baada ya hapo...cha mwisho naiombea akili yako usalama, mungu akuepushie depression na kasheshe zote zinazoambatana na hii MAKARATASI PROJECT...
ReplyDeleteleo naona mnakula restaurant poa sana, sijui umemdanganya nini akakubali leo mkale huko..naona viazi leo umeviepuka..Hongera sana,
ReplyDeleteaah mjomba Imma mbona umenga'nga'nia mbasi bovu? si unajua tena poland ni walala hoi kama sisi? au ulaya ni ulaya tu?maliza nondozi zako urudi bongo msufini kuna ma binti shwari for you.heri ya mwaka mpya mjoba.
ReplyDeleteSasa babu, shemeji hapo nani...au kama wanavyosema hapo shoprite yaani 'buy one get one free'!
ReplyDeleteKama kuna wazee wengine kama hao at loose end,nami nitumie postacadi ile nije nikujiunge!
Kwani yeye kasema apo kuna mke wake. Mi naona kama wote wakwe zake, mkewe yuko jikoni anapika, si ndiyo kaka? Piga ua apo hamna mke bwana, aah, kwanza Poland? ingekuwa US ningesema it worth it kusotea makaratasi na vikongwe, ila Poland, si wachovu tu kama warusi? hehehe, fanya research kabla ya...., i hope none of them are ur my wife wako.
ReplyDeleteWatu wana comment za ajabu sana humu.This is personal to the guy whatever the situation is and therefore none of your business!Acheni umbea!
ReplyDelete