Home
Unlabelled
salamu toka porini
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Yaani huyo ndo mdau? mhhh!
ReplyDeleteAh...kweli sisi wabongo pia tuna ubongo!!!well done artiste!!!
ReplyDeleteHIYO UBWETE. TUWEKEE PICHA YA SOKWE KWA KIGANJA TTAKUJUA WEWE NI NANIHIIIII
ReplyDeleteNimeikubali hii Tatoo kwenye mkono.
ReplyDeleteKazi maridadi ya mochoraji.
Nyakatakule Unyilisya Echalo
Kuna watu ni ma artist yaani huo ni mkono na vidole vya watu ndo umechorwa hivyo, nimekubali
ReplyDeleteHii iko nje ya hii topic lakini naomba msaada. Nahitaji majina haya kwa Kiswahili…. email me at idapap-tz@yahoo.com ....Please DO send me whatever suggestions you have. I look forward to hearing from you! And now? I am going to sit at my computer and wait…
ReplyDeleteMerry Christmas to all of you!!!!! - Sarah
Ape –
Chimpanzee –
Baboon -
Bear -
Buffalo -
Cheeter -
Deer -
Dolphin -
Eagle -
Whale -
Fox –
Utititri -
Viroboto -
Gazelle -
Hippopotamuses -
Rhinoceroses -
Hyena -
Impala -
Parrot -
Reindeer -
Raccoon -
Swans -
Tiger –
Mdau wa 22, 2007 10:25:00 PM EAT nitajaribu kukusaidia:
ReplyDeleteApe – Nyani
Chimpanzee – Tumbili
Baboon - Sokwe
Bear - Dubu
Buffalo - Nyati
Cheeter - Duma
Deer - Swala/Paa?
Dolphin - Pomboo
Eagle - Tai
Whale - Nyangumi
Fox – Mbwa Mwitu
Utititri - ?
Viroboto - ?
Gazelle - ?
Hippopotamuses - Kiboko
Rhinoceroses - Kifaru
Hyena - Fisi
Impala - ?
Parrot - Kasuku
Reindeer - ?
Raccoon - ?
Swans - Korongo
Tiger – Afrika Hakuna Tiger
nami nitajaribu kukusaidia Sarah kadri ya uwezo wangu paku rekebishwa nirekebishwe:
ReplyDeleteGAZELLE&IMPALA - wote ni aina ya swala,tofauti zao ni shape za mapembe,rangi na mbio.
DEER- pia ni aina ya swala ila REINDEER ni swala waishio sehemu za barafu pia wanafugwa kama wanavyo fugwa punda.
TIGER- ni aina ya chui mwenye mistari anapatikana bara Asia pekee.
Kaka michuzi naomba uwaambie asante sana walionijibu humu na walio nitumia email nashukuru sana.....Ni watoto wa Suday school nafundishaga mara chache nikiwa na nafasi sasa mara wameniomba niwafundishe maneno machahe basi nikajiingiza mtini kuwaambia waniandikie wanataka kujua nini zaidi.... Vingine vilikua rahisi lakini list ya wanyama niliyopewa hayo yalikua yananitatiza....
ReplyDeleteAsanteni sana ...Sana ...Nawatakia Christmas Njema na mwaka mpya wenye heri na baraka
Sara