Mimi Gloria Mnama, binti wa Simon Mnama naishi Ilogi wilaya ya Kahama.Napenda kutoa salaam zangu za Krismas naHeri ya mwaka mpya kwa wadau wote wa blog hii popote walipo.Salaam za pekee kwa wadau waliosoma na Baba huko Urusi popote walipo hapa nchini na huko majuu.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Hi! Cute lady. Ubarikiwe usome sana uwe nawe Brigadier

    ReplyDelete
  2. merry christmas na wewe pia salimia baba jina kama nalikumbuka vile...sijasoma urusi lakini small world

    ReplyDelete
  3. MWENYEZI MUNGU AKUEPUSHE NA WANAFIKI NA WAHARIBIFU.

    ReplyDelete
  4. we annon 23: 9:43 Wanafiki a Waharifu hawaepukiki hao! Lazima takumbana nao tu ili hali yuko duniani.

    ReplyDelete
  5. Lakin kusema za ukweli haka katoto kakikua katasumbua sana Mtaani, maana kalivyoumbika??

    jamaa watahangaika sana kukapata ikiwa ni pamoja na misele ya kutosha tu hivyo tuombe mungu tu nako kawe kagumu kukubali wanaume ovyo, ameeeeen

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...