

Kwanza pole na shughuli za kila siku hasa za kutuhabarisha. Mimi ni mdau wako Sylvia kutoka Tabata Dar es salaam nawatakia wasomaji wa blog hii heri ya xmas na mwaka mpya ila napenda kuwakumbusha kwamba ni muhimu kulinda afya zetu hasa kipindi hiki cha sikukuu ili tuweze kusherehekea sikukuu za mwaka ujao .
Kaka michu Nakupa shavu kubwa .
Mdau Sylvia
Sheeeee! Eroo Mishu, hii ni ndito au siangiki?Watu tasema saaaaaana......... Lakini hii ndito iko mahali yake. Mi imeishia hapo.
ReplyDeletedada naniliii... hivi hakuna kiti kingine coz naona watu woote mnaopiga picha hapo photo point kiti ni hicho hicho kimoja .....badilisheni
ReplyDeleteisiwe kama uniform... teh teh teh mdau .
hii ndito inaonekana imeshiba vizuri nitaitafuta nikiwa hapo dar
ReplyDeleteYuko fresh na truely african. Anavutia kwa wale tunapenda wakitanzania halisi. Nawe pia Christmas njema na kheri ya mwaka mpya.
ReplyDeletekweli kabisa me mwenyewe ichikiti kinaniboa sio siri we michuzi ebu badili zana hizo kama pesa unapata usituletee mambo ya uniform.
ReplyDeleteSlivia, mhhhhhh, mitego mingine bwana utatukamata tu. Guu mtoto umejaza ka nini, macho rembuuuuuuu, mhhhh, wakubwa wanafaidi! Msiwe mnasahau kuweka contact zenu jamani!
ReplyDeleteWee Silvia, "shavu kubwa" unalompa michuzi ndo lipi hii-looooo!
ReplyDeleteMademu wa Tabata utawajua tu.. Hata waogaje, hawatakati... Maji shida!!!!
ReplyDeleteUnajua Sylivia juzi ile pale Mawenzi Bar Sikukuelewa wakati tunaagana, Ulisema tukutane wapi vile??
ReplyDeleteHalafu mbona ile namba ulionipa nimeisahau tena?? Nitumie ingine basi jamani.
Nitumie kwa kupitia 0755 532 666
Weka e mail yako mtoto tukuandikie, au namba ya simu
ReplyDelete