Uncle Michu, na sisi ni wadau wa Blog yako, tumeijua hii kupitia baba. Tunakupongeza sana kwa kazi nauri na kunakutakia HAPPY CHRISTMAS AND A HAPPY NEW YEAR!, sisi ni Happyness, Gladness na Maureen Ndauka.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. tanga raha

    ReplyDelete
  2. We Ndauka! Mbona wanao wameshika tama!? Wana furaha kweli hao?

    ReplyDelete
  3. Haya majina mawili mbona naona kama yanafanana ki-maana kwa kiswahili.

    Happyness na Gladness, naomba ufafanuzi wadau.

    ReplyDelete
  4. usidshangae sana kuna wengine wanaitwa Neema na mdogo wake Grace sasa hapo ndio utajiuliza

    ReplyDelete
  5. We anon. wa 25, 2007 10:21:00 PM EAT majina hayo hayafanani. Happiness= furaha, Gladness= shukrani

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...