yakhe shughuli bila shaba si shughuli atiiiiii...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Kaka Michuzi, hiyo kitu inaitwa shaba inatakiwa iwe chini ya mpishi aliyevaa msuli, singlend na barghashia.Hapo walaji twaweza pata ladha ya msosi.Lazima pilau la shaba nyama iwe nyingi na mbuzi au kama ni ng'ombe awe amechinjwa kuelekea kibla. Wayajua hayo Michuzi.Nawatakia Wabongo wenzangu wa huku Ughaibuni na nyumbani Sherehe njema yenye mafanikio, raha, baraka, furaha na amani tele. Inshaalah.

    ReplyDelete
  2. bwana pilau tamu liwe kama kutu, yaani chuma chenye kutu,shaba huwa ni biryani

    ReplyDelete
  3. yakhe...pilau na biriani ni ya wadosi...wabongo hatuna chetu?...ili kudoelea cha wengine tu!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...