KWA NIABA YA FAMILIA YETU,NATUMA SALAMU ZA SIKUKUU KWA WATANZANIA WOTE POPOTE WALIPO,PONGEZI KWA KAZI NZURI UNAYOFANYA,NI MIMI CAMILA aka SAYUNI.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. What a beautiful little thing! She's so sweet, very cute! mungu amlinde dhidi ya manunda yaliyojaa Duniani hapa. Amen!

    ReplyDelete
  2. wow! mtoto wa nani huyu, ni mrembo kweli...!
    Mwenyezi mungu akulinde na kukubariki.Amen

    ReplyDelete
  3. Isca Kauga is this your little girl? She has grown so fast and she looks adorable.

    ReplyDelete
  4. you are so cute, say hi to your sister Minza. Happy holidays to you too.

    ReplyDelete
  5. Merry Christmas dear I like your name

    ReplyDelete
  6. ur so cute my daring, u take care

    ReplyDelete
  7. jamani camilla umekuwa mungu akubariki

    ReplyDelete
  8. MIAKA 20 IJAYO WATAULIZANA HIVI MAJINA YETU KAMA MASILINGI,TIBAIJUKA,MKWESE,MKANDAWILE,NTIMIZI,MWASAKAFYUKA,MLOKOZI,MICHUZI,MBONDE,MGAYA YAMEENDA WAPI..MAANA HAYAPO HAPO NDIO MTAJUA
    NINI MAANA YA MAJINA YETU YA ASILI
    WAAFRIKA BWANA KAZI KWELI KWELI.

    ReplyDelete
  9. Sikukuu njema sweetie. As cute as mommy.

    ReplyDelete
  10. mtu-turkey,mtoto hapo juu kakutumia salaam badala ya kuitikia unaleta porojo,ndiyo nyie mnaokataa shikamoo.... unamtoto au watoto???... kama unao umewapa majina gani?si ajabu wewe mwenyewe unaitwa "William"au....
    afadhali wazazi wa huyo mtoto wamempa jina moja la kiasili(Sayani).JUST A THOUHT..

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...