Home
Unlabelled
salamu za sayuni
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
What a beautiful little thing! She's so sweet, very cute! mungu amlinde dhidi ya manunda yaliyojaa Duniani hapa. Amen!
ReplyDeletewow! mtoto wa nani huyu, ni mrembo kweli...!
ReplyDeleteMwenyezi mungu akulinde na kukubariki.Amen
Isca Kauga is this your little girl? She has grown so fast and she looks adorable.
ReplyDeleteyou are so cute, say hi to your sister Minza. Happy holidays to you too.
ReplyDeleteMerry Christmas dear I like your name
ReplyDeleteur so cute my daring, u take care
ReplyDeletejamani camilla umekuwa mungu akubariki
ReplyDeleteMIAKA 20 IJAYO WATAULIZANA HIVI MAJINA YETU KAMA MASILINGI,TIBAIJUKA,MKWESE,MKANDAWILE,NTIMIZI,MWASAKAFYUKA,MLOKOZI,MICHUZI,MBONDE,MGAYA YAMEENDA WAPI..MAANA HAYAPO HAPO NDIO MTAJUA
ReplyDeleteNINI MAANA YA MAJINA YETU YA ASILI
WAAFRIKA BWANA KAZI KWELI KWELI.
Sikukuu njema sweetie. As cute as mommy.
ReplyDeletemtu-turkey,mtoto hapo juu kakutumia salaam badala ya kuitikia unaleta porojo,ndiyo nyie mnaokataa shikamoo.... unamtoto au watoto???... kama unao umewapa majina gani?si ajabu wewe mwenyewe unaitwa "William"au....
ReplyDeleteafadhali wazazi wa huyo mtoto wamempa jina moja la kiasili(Sayani).JUST A THOUHT..