shati hili linalonadiwa katika duka moja mtaa wa samora litatolewa bure kwa litayemtosha kama zawadi ya krisimasi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Nimecheka sana mpaka naweza kufukuzwa kazi hivi wabongo wanatoa wapi hivi vijimambo bongo bila hivi vitu isingekuwa bongo

    ReplyDelete
  2. Hahahahahahaaaa, Hayo ndio mambo ya mjini, Swali ni kwamba je yupo litakaye mtosha?
    Kicheko tu hapa.

    ReplyDelete
  3. michu,leo naona mitaa ya samora forodhani kwa wingi,umeshinda huko nini?

    ReplyDelete
  4. Inaonyesha jinnsi wasanii walivyo wengi...Anajua fika hamna litakayemtosha laini wengi wataingia kwenye lottery kujaribu bahati yao....teh teh teh tehhhhhhWatoto wanajifunza usanii kutoka kwa baba

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...