motokaa ya mkuu wa mkoa wa singida mh. parseko kone, yanasa kwenye tope. kufuatia mvuaa kubwa zinazonyesha sehemu hizo barabara kadhaa ambazo hazina lami zinapitika kwa shida sana

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Tambarare.Maisha bora kwa wote.Na bado kuna wavivu wa kufikiri wanajilinganisha na nchi zilizoendelea.Bado miaka 100.

    ReplyDelete
  2. Angelala hapo siku tatu na yeye ili aonje adha wanazopata wananchi.

    ReplyDelete
  3. That route was not meant for cars just pedestrians that why!

    ReplyDelete
  4. Bongo tambarare nyie. Mie mwenyewe nimekwama juzi kama hivyo hapo juu majuu kwenye snow...lol sasa hapo ngoma droo

    ReplyDelete
  5. KONOIKE mko wapi jamani???kabla ya viongozi wetu hawatazizoa hazina chungu mbovu!!!bora tutumie punda jamani

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...