Mdau David Azaria anamalizia mwaka kwa posti hii ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kagera, Abadalh Mssika, na kikosi maalumu katika eneo la msitu walikokuta masalia ya nyama za ng’ombe, baada ya kufanikiwa kuisambaratisha kambi moja ya majambazi katika pori la Kimisi hivi karibuni. Eneo hilo lilielezwa kuwa ni mapumziko ya majambazi kwa ajili ya chakula na malazi baada ya kufanya uhalifu.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. bongo kweli tambarare

    ReplyDelete
  2. haha ahaha huu ndio ushahidi wa kusambaratisha majambazi,sitashangaa kama huyo ng'ombe wao ndio walimla...kazi kweli kweli!

    ReplyDelete
  3. Nami nimekubali kuwa kweli Bongo New York.
    Mdau, VA

    ReplyDelete
  4. lakini hao kweli wanapambana na majambazi...???au ni hao hao majambazi...!!!'poacher turned gamekeeper and vice versa'

    ReplyDelete
  5. Wabongo kweli bado sana! Sasa polisi kutuonyesha masalia ya ng'ombe ndiyo ushindi? Wakowapi majambazi? Eti wamewatawanya? Do we really need to hear this kind of story while these people (majambazi) continue to run the show?

    Don't be surprised hawajamaa "waliotawanywa" wala siyo majambazi, ni watu tu waliokuwa katika picnic wanakula berbeque yao!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...