wafanyakazi wa uwanja wa ndege wa julius nyerere wakisafisha upenu wa uwanja huo asubuhi hii mara baada ya kundi la mwisho la mahujaji waliokwama hapo kwa siku kadhaa hatimaye kupaa kwenda hijja

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. mmh bongo kupata kazi kama hiyo mpaka uwe shemeji yake na boss mmoja wa huko airport huko, au sijui shangazi yako anafahamiana nao,,,,,n.k huku kzi kama hiyo bwelele, napiga tu simu nataka kazi, naulizwa lini uko tayari kuanza,,,,haya mnatuita wabeba maboksi, kumbe na bongo mambo yaleyale,basi tena mwenzenu nasafisha duka, sakafu nasafisha na limashine, nalijazia maji tu, nikishaliwasha, nalisukumiza tu,,,nyie mnafagia,,lol,,mazingira yenu ya kazi magumu, Poleni,,lakini kazi ni kazi, wala mavumbi wacheni kutusagia wabeba maboksi, angalieni hali halisi hapo juu ndo mfunge midomo,,huku nje hiyo ni kazi ya mtu mmoja tu, na mashine yake kwisha kazi.......

    ReplyDelete
  2. Ohoooo naiona ile kona ya kwendea chooni pale uwanja wa ndege,,,nasikia maji yanakatikaga wanaweka pipa la maji na kopo...hivi ndio njia gani hiyo ya kuvutia watalii, mzungu akachukue kopo la maji ndo ajita**ze? mnacheza kweli, hata mie mwenyewe nishakaa huku nishabeba maboksi sana, siwezi tena tumia kopo la maji hapo, bora mtuambie mapema tuwe tunavaa diaper za wakubwa,,ziko! waulizeni waosha vizee wanazijua...

    ReplyDelete
  3. khaaa nyie jamani,,yaani unataka kunambia mahujaji ndo walikuwa wanashinda hapo nje? si ilikuwa vurugu sana hapo? haya na watasha na safari zao walikuwa wana mahala pa kupita kweli humo?bongo kweli tambarare............mahujaji si walitakiwa wapewe hotel nzuri wangojee trip..ATC kulikoni?serikali nini tena hiki?ndo mnasema bongo new york sikuhizi? MMMHHHHH...kaazi kwelikweli.

    ReplyDelete
  4. Mahujaji walichafua nini? maana kukaa eapoti siku 3 sio mchezo!!!

    ReplyDelete
  5. Li-nchi limepata uhuru miaka 46 iliyopita lakini bado halina airline yoyote ya maana limekalia kukodisha tu. Zezeta kweli!

    ReplyDelete
  6. Huu uwanja kweli umechoka na ni aibu kwa taifa. Yaani unafaa kuwa stendi ya basi, sio International Airport

    ReplyDelete
  7. Ina maana walipachafua sana?

    ReplyDelete
  8. Washikaji wanavyopenda kukaa chini watakuwa wamepumua kishenzi hapo!!!!

    ReplyDelete
  9. Wewe huwa unakaa juu???Watu wengine bwana ubongo makamasi matupu!!!NDIO HAO HAO WANAOTOKA CHOONI NA MAVI.

    ReplyDelete
  10. si yangekuwa misalaba labda wangepelekwa kempinski!!!Allah hu Akbar...wakati wetu utakuja

    ReplyDelete
  11. weee hapo juu acha ujinga wa kusema ukija huwezi tumia kopo nyie ndio mnaotoka na kinyesi kwenye makalio mana toilet paper haisafishi vizuri yaweza pia ibaki kwenye makalio,ukitumia maji unakuwa msafi bwanaaa na unajisikia fresh pia ukitumia toilet paper unawezabakiza kinyesi kwenye nguo ya ndani...tumia kopo bwanaaa utaona raha yake.toilet paper jikaushie tu..ili usibaki na majimaji.nawa mikono yako na sabuni thats it.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...