mdau hamidu bisanga majuzi kashuhudia tembo aliyegongwa na gari lililokimbia baada ya ajali sehemu za mbuga ya wanyama ya mikumi. tembo huyo mdogo inasadikiwa aaligongwa na roli ambalo halikuweza kujulikana kwa ni jamaa aliingia mitini

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. So! bad we need camera pale mikumi

    ReplyDelete
  2. ooh! jamani hao ndo madereva walevi.

    ReplyDelete
  3. Pamoja na speed bumps na alama za barabarani zinazoashiria madereva kupunguza mwendo, nadhani pia uongozi wa Mikumi NP uweke doria ya masaa 24 ili kuwakamata madereva wazembe kwa kushirikiana na traffic police!!!! Isitoshe watu wengi hawana elimu ya mazingira hasa watumiaji wa barabara hii, maana takataka nyingi zinonekana kuzagaa hifadhini katika eneo hili!!

    ReplyDelete
  4. kagongwa au hamna kitoweo, maana wabongo wasanii sana

    ReplyDelete
  5. Ana bahati sana huyo. Wangempata leo ingekuwa shughuli mtu!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...