baada ya likizo ya mwisho wa mwaka lady jd na bendi yake ya machozi wamendeleza tena libeneke lake la kila ijumaa katika ukumbi wa chinese barabara ya bagamoyo, jirani na hospitali ya aar. wadau tulikuwepo kuwakilisha

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. Capt G Habash, mfundishe mama jide kutabasam hasa kwenye matukio kama hayo....siku hazingandi ndio 2008 hiyoooo nawatakia kila la kheri machozi band na wengine wote wanaoendeleza libeneke

    ReplyDelete
  2. Anon hapo juu ni kweli uliyoyasema, yaani Mam Jide kanuna sana hata hajapendeza kabisa anatakiwa asmile kidogo kuonyesha mafanikio aliyonayo au alikuwa hataki kusindikizwa na my dear husband wake.

    ReplyDelete
  3. G. Habash mbona huyu dada hapendezi mpaka sasa....? VIPI!? Sisi tunasubiri kuona wajukuu. Miaka miwili sasa 'ngoma' bado bila bila! Why?! Kamua bwana tuone issues, mkeo wa zamani asije pata pa kuanzia kebehi

    ReplyDelete
  4. Huku kuuchuna lazima muda mfupi kabla ya hapo kulikuwa na soo! haiwezekani hata Habash mchangamfu namna ile awe na kufuri la kucheka!

    ReplyDelete
  5. sasa machozi na kusmile wapi na wapi? lazima akae kimachozi machozi

    ReplyDelete
  6. Wee Michuzi ,
    mbona huyo dada hapo hivyo na kufua chake.
    mywife wako hataleta noma kweli
    maana wewe kwa mikonoz ?!!!!
    loh !!!
    haya kaka


    mdau kanada

    ReplyDelete
  7. Huyu mama ndio maana akaitwa KOMANDO,
    Yaan hapo ndo maximum smile yake

    ReplyDelete
  8. Michuzi uko discrimatory sana. Umeminya coments zangu kuhusu mimba?!! Labda una hisa huko kwa Jaydee, lakini haikuwa mbaya. Post tu maana si wewe uliyesema. Ni sisi wasomaji wa blog. Hawawezi kukulaumu. Haya, bwana.

    ReplyDelete
  9. Jide anapendeza hivyo na straight face, Gadna ukichemsha mi na komando nakupumulia tu!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...